Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 17:13

Wakimbizi waongezeka katika mji wa Pemba kaskazini mwa Msumbiji


Wakimbizi waongezeka katika mji wa Pemba kaskazini mwa Msumbiji
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:32 0:00

Mashirika ya misaada nchini Msumbiji yanaarifu kwamba karibu watu elfu 40 wamekimbia kutoka makazi yao katika jimbo la kaskazini la Cabo Delgado mnamo miezi minne iliyopita.

XS
SM
MD
LG