No media source currently available
Makamu rais wa zamani Marekani, Joe Biden, mdemocrat anawania urais dhidi ya Rais Donald Trump katika uchaguzi wa November 3, akiwania kuingia White House. Sasa je wasifu wake ni upi?Mkamiti Kibayasi anaripoti kamili.