George Floyd Mmarekani mweusi mwenye umri wa miaka 46 aliyeuliwa na polisi mzungu anageuka na kua sura ya kimataifa kwa ajili ya vita dhidi ya ubaguzi wa rangi na utumiaji nguvu wa polisi. Maelfu ya watu walitoa heshima zao za mwisho kwa Floyd Jumatatu June 7, 2020 wakati hakimu akimfungulia rasmi mashtaka afisa wa polisi anaetuhum kwa mauwaji yake mjini Minneapolis
Matukio
-
Februari 06, 2023
Marekani: Rais Biden atatoa Hotuba ya Hali ya Kitaifa 2023
-
Januari 07, 2023
DRC: Waasi wa M23 wamekubali kuondoka Rumangabo
Facebook Forum