Uchaguzi unafanyika licha ya kuwepo na mlipuko ya ugonjwa wa Covid 19 na kukiwa na wasi wasi ikiwa utafanyika kwa njia ya huru haki na uwazi. Wapiga kura milioni 5.1 wanatazamiwa kumchagua rais mpya pamoja na wabunge wa bunge la taifa na serikali za mitaa mnamo duru hii ya kwanza.
Matukio
-
Desemba 12, 2025Duniani Leo
-
Desemba 11, 2025Duniani Leo
-
Desemba 10, 2025Duniani Leo
-
Desemba 09, 2025Duniani Leo
-
Desemba 08, 2025Duniani Leo
-
Desemba 05, 2025Duniani Leo