Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 18:27

Wanawake wanataka matumizi ya takwimu kuleta usawa wa kijinsia


Wanawake wanataka matumizi ya takwimu kuleta usawa wa kijinsia
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:56 0:00

Wanawake barani Afrika wanataka mfumo maalum wa kuwasilisha takwimu juu ya ukweli halisi wa mapungufu ya kijinsia barani Afrika.

XS
SM
MD
LG