No media source currently available
Ilikuwa ni siku ya historia nchini Kneya baada ya maelfu ya wakenya kutoka kila pembe ya taifa hilo kuwasili katika uwanja wa nyayo jijini Nairobi kutoa heshima za mwisho kwa mwendazake rais mstaafu Daniel Moi.
Ona maoni
Facebook Forum