Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Februari 09, 2023 Local time: 05:34

Sultan Haitham wa Oman aahidi kuendelea na sera za Sultan Qaboos


Sultan Haitham wa Oman aahidi kuendelea na sera za Sultan Qaboos
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:26 0:00

Kiongozi mpya wa Oman Haitham bin Tariq al Said, ameahidi kuendelea na sera za kigeni za taifa hilo la kifalme ambazo anasema zilijengwa chini ya misingi ya kuishi kwa amani na majirani zake na kuendeleza ushirikaino wa kirafiki na mataifa ya dunia

"Sultan Qaboos bin Said bin Taimur, Mwenyezi mungu amlaze pema, alikua mtu ambae hotuba kama hii ninayo itoa haiwezi kufafanua kwa dhati kile alichofanikiwa kufanya na kujenga. Amejenga taifa la kisasa linalotambuliwa na wakosowaji kabla ya wapenzi wake. Na amebuni kipindi cha kihistoria ambacho kinaweza kushuhudiwa kutokana na mfumo wa sheria na utawala ambao unaloliongoza taifa na kufungua njia kwa mustakbali wa mafanikio aliyo kua na ndoto kuona imestawi". alisema Sultan al Said

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG