Shughuli zote zimesisimama katika mji wa Goma, DRC kufuatia maandamano makali ya wanafunzi yalio pelekea polisi kukimbia na kuwaacha waandamanaji wengi wakiwa watoto wa shule wakipinga kifo cha mwenzao aliyesemekana kuuliwa na polisi asubuhi ya leo alipokuwa akienda Shule.
Facebook Forum