Kiongozi wa kundi la kisiasa la People Power nchini Uganda, Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ametoa wito kwa vijana na wakaazi wa nchi zote za Afrika mashariki, kushirikiana katika kumaliza ukandamizaji wa demokrasia, na haki za kibinadamu.
Facebook Forum