Washington Bureau
Hatima ya vijana wapato laki 8 amabo waliingia Marekani bila makaratasi halali wakiwa na umri mdogo iko mikononi mwa majaji tisa wa mahakama ya juu Marekani. Kwa zaidi ya miaka 20 hoteli ya Trump International na jengo la Trump Towers imekuwa na alama ya kufahamika jijini New York, lakini mtazamo huo umekuwa ukipata sura mpya
Facebook Forum