Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 28, 2023 Local time: 16:13

Wananchi wa Beni wamesema hawana imani na askari wa MONUSCO


Wananchi wa Beni wamesema hawana imani na askari wa MONUSCO
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:03 0:00

Wananchi waishio karibu na kambi za Umoja wa Mataifa MONUSCO kwenye vijiji mbali wilayani Beni, wasema hawana imani tena na askari wa Umoja wa Mataifa walieko DRC kutokana na mauaji yanayoendelea karibu na kambi hiyo.

XS
SM
MD
LG