Kenya imezindua rasmi kampeni ya kuwania uanachama, usio wa kudumu, katika Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa. Na Jeshi la Congo FARDC limetangaza kuwauwa waasi 26 wa ADF wakati wa mapigano makali katika misitu ya Beni ambako msako wa waasi unaendelea.
Facebook Forum