Duniani Leo November 6, 2019
Viongozi wa dunia wamepongeza makubaliano ya Amani yaliyofikiwa kati ya serikali ya Yemen na wapiganaji . Na Watafiti visiwani Zanzibar wanatumia ndege zisizoendeshwa na rubani kunyunyuzia dawa aina ya Aquatain AMF, inayoharibu mazao ya mbu katika jitihada za kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa Malaria
Facebook Forum