Duniani Leo November 1, 2019
Msemaji wa waziri mkuu wa amesema takriban watu 78 wameuwawa katika maandamano wiki iliyopita dhidi ya ukandamizaji wa mwanaharakati maarufu, Jawar Mohammed Na gavana wa zamani wa Katanga Moise Katumbi Chapwe ametangaza kuunda chama chake cha upinzania chenye nia ya kuboresha maisha ya wananchi.
Matukio
-
Februari 10, 2023
Hotuba ya Hali ya Kitaifa: Biden azungumzia mvutano na China
-
Februari 06, 2023
Marekani: Rais Biden atatoa Hotuba ya Hali ya Kitaifa 2023
Facebook Forum