No media source currently available
Kamati ya baraza la usalama la umoja wa mataifa inayosimamia vikwazo dhidi ya Somalia imependekeza mabadiliko katika vikwazo vya silaha vilivyowekewa kwa taifa hilo mwaka 1992, kutokana na hali ya kisiasa na usalama wa Somalia kubadilika.
Ona maoni
Facebook Forum