Zulia Jekundu Episode 249
Studio ya YouNee ya Nigeria imetengeneza filamu fupi ya kwanza ya michoro yenye dakika 15 kuhusu Malkia wa Afrika. Filamu ya “The Milkmaid” kutoka Nigeria inaelezea hadithi ya dada wawili ambao Maisha yao yameharibiwa na ghasia za uasi wa wanamgambo unaolenga jinsia yaonyeshwa Washington DC
Facebook Forum