Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 16, 2021 Local time: 21:59

Miaka 20 yatimia tangu Mwalimu Nyerere afariki dunia


Miaka 20 yatimia tangu Mwalimu Nyerere afariki dunia
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:10 0:00

Tanzania leo imeadhimsha miaka 20 tangu kifo cha muasisi wa taifa hilo, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kwa takriban juma zima lililopita kumekuwa na shughuli mbalimbali za kumuenzi kiongozi huyo aliyeongoza wapigania uhuru wengine kuikomboa Tanzania kutoka Ukoloni

XS
SM
MD
LG