Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 07, 2022 Local time: 14:02

Duru ya pili ya uchaguzi wa Tunisia umekuwa na ushindani mkali

Uchaguzi wa duru ya pili ya uchagzui wa rais wa Tunisia umefanyika bila ya matatizo kati ya wagombea wawili wepya katika siasa za nchi hiyo. Mfanya biashara mashuhuri Nabil Karoui na Mhadhir mtaalamu wa masuala ya katiba Kais Saied.

Pandisha zaidi

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG