No media source currently available
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kuharibu kabisa uchumi wa Uturuki iwapo nchi hiyo itachukua hatua za kijeshi dhidi ya Syria, baada ya kutangaza kuondoa kikosi maalum cha wanajeshi wa Marekani mpakani.
Ona maoni
Facebook Forum