No media source currently available
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi, ametangaza kwamba yupo tayari kufanya kila linalowezekana kuhakikisha kwamba amani inarejea mashariki mwa nchi hiyo ambako kunaripotiwa mashambulizi ya makundi ya waasi kila mara.
Ona maoni
Facebook Forum