Hali ya jazba inaendelea kuongezeka Marekani huku uchunguzi unaolenga kumfungulia mashitaka ya kumwondoa madarakani rais Donald Trump ukiendelea kupata nguvu. Na kikwazo cha udhamini pindi mtu anapoomba mikopo huenda kikapata utatuzi nchini Tanzania.
Facebook Forum