Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 13:33

Msikiti mkubwa Afrika Magharibi wafungulia rasmi Senegal


Msikiti mkubwa Afrika Magharibi wafungulia rasmi Senegal
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:50 0:00

Msikiti mkubwa kuliko yote Afrika Magharibi umefunguliwa Dakar – Senegal, maelfu ya waumini wakijitokeza kushuhudia ufunguzi huo.Msikiti wa Massalikoul Djinane, una uwezo wa kuwapokea waumini 30,000 kwa wakati mmoja.

XS
SM
MD
LG