Maelfu ya wamarekani wamekusanyika mjini New York Washington na Shanksville Pennsylvania hii leo kuwakumbuka karibu watu elfu 3 wakati ndege zilzoitekwa nyara kugonga na kuharibu majengo ya World trade center, Pentagon na kuanguka kwenye uwanja huko Pennsylvania, hapo Septemba 11 2001.
Facebook Forum