Duniani Leo September 11, 2019
Mwili wa aliyekuwa rais wa wa Zimbabwe , Robert Mugabe umefika Harare ambako utawekwa katika eneo la kihistoria kwa siku kadhaa kabla ya kuzikwa kitaifa. Na Marekekani leo imeadhimisha kukumbukumbu za ugaidi za September 11, kwa kuwakumbuka ma elfu ya watu walipoteza maisha katika shambulio hilo
Facebook Forum