Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Januari 31, 2023 Local time: 22:36

Baadhi ya wanaigeria waishio Afrika Kusini wataka kurudishwa kwao


Baadhi ya wanaigeria waishio Afrika Kusini wataka kurudishwa kwao
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:55 0:00

Takriban raia 640 wa Nigeria, wamejaza fomu ya kutaka kusafirishwa kutoka Afrika na kurejea nchini mwao, kufuatia mashambulizi yanayoendelea dhidi ya raia wa kigeni hasa kutoka nchi za Afrika, wanaoishi Afrika kusini.

XS
SM
MD
LG