No media source currently available
Mahakama kuu jijini Dar-es-salaam, Tanzania imekataa maombi ya aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, kufungua shauri kupinga maamuzi ya Spika wa Bunge la taifa Job Ndu-gai, ya kumvua ubunge Lissu .
Ona maoni
Facebook Forum