Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 24, 2021 Local time: 22:28

Baba mtakatifu aendela na ziara Kusini Mashariki mwa Afrika


Baba mtakatifu aendela na ziara Kusini Mashariki mwa Afrika
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:47 0:00

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, anaendelea na ziara yake ya mataifa matatu ya kusini mashariki mwa Afrika, hii leo akiwa Mauritius. Papa Francis, anatarajiwa kuendelea kuhubiri ujumbe wa amani, upendo na maridhiano.

XS
SM
MD
LG