Duniani Leo September 9, 2019
Mwili wa aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, unatarajiwa kuwasili katika uwanja wa kimataifa wa Robert Mugabe, mjini Harare, Zimbabwe, Jumatano. Na kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis, anaendelea na ziara yake ya mataifa matatu ya kusini mashariki mwa Afrika, hii leo akiwa Mauritius.
Facebook Forum