Cardi B , Chance the Rapper na TI wakuwa majaji katika show mpya ya mashindano ya muziki ambayo inataandaliwa na NETFLIX. Steve Harvey atazindua kipindi chake cha Family Feud barani Africa , nchi za South Africa na Ghana ndizo zitakazo kuwa za kwanza kushiriki show hiyo.
Facebook Forum