Mataifa ya Afrika yanatowa wito kwa Afrika kusini kukomesha ghasia dhidi ya wahamiaji wa kiafrika wanaoishi nchini humo. Baba mtakatifu Fransis amekutana na maelfu ya raia wa msumbiji baada ya kuwasili nchini mumo na kupokelewa kwa shanngwe kwa utamaduni wa mavazi na sherehe .
Facebook Forum