Duniani Leo August, 29 2019
Kijana mwanaharakati wa kutunza mazingira Greta Thunberg, amewasili mjini New York, baada ya siku 15 za safari ya boti katika bahari ya Atlantic. Na viongozi wa Ufaransa na Brazil wanaendelea kujibizana kwa maneno makali kuhusu moto unaoendelea kuteketeza msitu mkubwa kabisa duniani wa Amazon,
Matukio
-
Februari 06, 2023
Marekani: Rais Biden atatoa Hotuba ya Hali ya Kitaifa 2023
-
Januari 07, 2023
DRC: Waasi wa M23 wamekubali kuondoka Rumangabo
Facebook Forum