No media source currently available
Kundi la wanawake waendesha pikipiki wanaojulikana kama PIKI DADA linaendelea kupata umaarufu nchini Kenya na kuvutia wanawake wengi ambao wamekuwa na dhana kuwa kuendesha pikipiki ni hatari kwa wanawake.
Ona maoni
Facebook Forum