Upatikanaji viungo

Breaking News

Mkutano wa G7 ufanyika nchini Ufaransa


Mkutano wa G7 ufanyika nchini Ufaransa
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:03:57 0:00

Mkutano wa viongozi wa mataifa 7 tajiri dunaini G7 ulimalizika jana nchini ufaransa huku ikionekana kama Rais Donald Trump wa Marekani hakuweza kukubaliana na wenzake kuhusu masuala muhimu ikiwa ni pamoja na vita vya biashara kati ya Marekani na Uchina, namna ya kukabiliana na masuala ya nuklia ya Iran na Korea kaskazini hadi suala la kuirudisha Rushia katika kundi hilo.

XS
SM
MD
LG