Baraza jipya la utawala wa mpito nchini Sudan limeapishwa hii leo, na waziri mkuu kuteuliwa. hatua . Na karibu wahamiaji 100 waliokuwa wamekwama baharini kwenye meli ya kutoa msaada ya Open arms, pwani ya Lampedusa, hatimaye wameshuka kutoka kwenye meli hiyo .
Facebook Forum