Miaka 400 iliyopita waafrika wa kwanza waliofanywa watumwa waliwasili ardhi ya marekani ya sasa. Watumwa hao wa kwanza walitokea katika koloni la kireno la angola, na kuletwa katika pwani ya koloni la uingereza la Virginia mwaka 1619 ndani ya meli ya kiingereza.
Facebook Forum