Polisi katika mji wa Philadelphia, wanamzuilia mshukiwa mmoja baada ya majibizano ya risasi yaliyodumu saa nzima, na kuacha maafisa sita wa polisi wakiwa na majeraha ya risasi.
na maafisa wa usalama wa China wameonekana karibu na mpaka wa Hong Kong wakifanya mazoezi.
Facebook Forum