No media source currently available
Utawala wa rais Donald Trump umetangaza sera mpya itakayowazuia wahamiaji ambao tayari wapo Marekani, kupata ukazi wa kudumu hapa Marekani au kupata uraia, iwapo watatumia mipango ya misaada ya uma kama matibabu, chakula au wa makazi.
Ona maoni
Facebook Forum