Marekani inaweza kumuekea vikwazo mtu yeyote anayeisaidia serikali ya rais Nicholas Maduro wa Venezuela. Na nchini Tanzania Magari yanayotumia Petrol yanafungwa mfumo maalum wa kuwezesha pia kutumia Gesi asilia unaoelezwa kuwa na mafanikio makubwa hasa kwa kupunguza gharama.
Facebook Forum