Viongozi mbalimbali ulimwenguni, akiwemo mkuu wa kanisa la Katoliki Papa Francis wametoa mkono wa pole baada ya mashambulizi ya risasi yaliotokea Marekani. Wahamiaji 40 waliokolewa katika pwani ya Libya, wamepelekwa katika katika bandari kwa usafiri wa boti za kijeshi za Malta.
Facebook Forum