Watu wawili wasadikika kufariki baada ya kuugua ugonjwa wa Ebola, ugonjwa huu umekuwa tishio kubwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Na afisa mmoja wa afya huko Yemen amesema idadi ya vifo imeongezeka kufuatia mashambulizi yanayoendelea katika mji wa bandari wa Aden .
Facebook Forum