No media source currently available
Taswira ya mtaa wa Kibera imeanza kuchukua mkondo mwingine baada ya wakufunzi wa densi ya ballet kutoka mataifa ya magharibi kutua katika mtaa huo. Awali ni densi ambayo ilisusiwa sana wengi wakihoji umuhimu wake katika maisha ya watoto wa mtaa huo
Ona maoni
Facebook Forum