No media source currently available
Kwa miaka kadha sasa juhudi zinaendelea barani afrika kurejesha turathi na kumbukumbu zilizochukuliwa na nchi za magharibi wakati wa ukoloni. Ingawa ni zoezi la muda mrefu baadhi ya kumbukumbu zinarejeshwa moja baada ya nyingine kwa nchi wamiliki.
Ona maoni
Facebook Forum