Upatikanaji viungo

Breaking News

Duniani Leo July, 30 2019


Duniani Leo July, 30 2019
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:29:56 0:00

Polisi waTanzania wamethibitisha leo kuwa wanamshikilia mwandishi wa habari Eric Kabendera ambaye jana iliripotiwa kuwa amechukuliwa na watu wasiojulikana. Hali bado si shwari katika jela moja kaskazini mwa Brazil ambako takriban wafungwa 57 wameuwawa wakati wa ghasia jumatatu.

XS
SM
MD
LG