Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 16, 2021 Local time: 21:09

Mradi wa umeme wazinduliwa Tanzania


Mradi wa umeme wazinduliwa Tanzania
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:29 0:00

Ujenzi wa mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji katika eneo bonde la mto Rufiji nchini Tanzania umeelezewa kuwa moja ya vielelezo vya kwamba nchi za Afrika zinaweza kutekeleza miradi mikubwa kama hiyo zenyewe na hivyo jumuiya za kimataifa kutakiwa kuunga mkono juhudi za maendeleo barani humo.

XS
SM
MD
LG