No media source currently available
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amelaani mauaji ya watu wapatao 65 yaliyofanywa na kundi la Boko haram kaskazini-magharibi ya Nigeria mwishoni mwa wiki. Buhari ameamrisha majeshi ya nchi hiyo kuanza doria za angani na ardhini kuwatafuta wauaji hao.
Ona maoni
Facebook Forum