Tunisia inajiandaa kwa mazishi rais nchi hiyo aliyefariki akiwa ofisini wa nchi hiyo, pamoja na uchaguzi kupata rais atayeongoza Tunisia. Na wakimbizi na wahamiaji wahofiwa wamekufa baada ya mashua waliyokuwa wakisafiria kuzama katika mwambao wa Libya kwenye bahari ya Mediterranean.
Facebook Forum