Mbunge Ilhan Omar kutoka jimbo la Minnesota hapa Marekani, ambaye amekuwa katika mvutano na rais Donald Trump, ametaka wafuasi wake kukabiliana na ubaguzi na madai yasiyo kuwa kweli dhidi yake na badala yake kutilia mkazo juhudi za kumshinda Trump katika uchaguzi wa 2020.
Facebook Forum