Mwendesha mashitaka maalum Robert Mueller anatoa ushahidi mbele ya kamati mbili za bunge la marekani kuhusu uchunguzi wake katika uchunguzi wake kuhusu madai ya Russia kuingilia uchaguzi wa mwaka 2016. Theresa May, ameondoka rasmi madarakani kama waziri mkuu wa Uingereza.
Facebook Forum