No media source currently available
Ukosefu wa nafasi za ajira nchini Kenya mara nyingi huwasukuma Wakenya kutafuta ajira kwa mataifa ya ughaibuni . Licha ya magumu wanayopitia arabuni wengine hurejea nyumbani na kukuta familia zao zimetumia vibaya fedha walizotuma nyumbani.
Ona maoni
Facebook Forum