Uingereza imepata waziri mkuu mpya baada ya Boris Johnson kumshinda mpinzani wake Jeremy Hunt katika uchaguzi wa kuziba nafasi iliyowachwa wazi na Theresa May. Na waziri wa fedha wa Kenya Henry Rotich na katibu wake Kamau Thugge walifikishwa mahakamani leo kujibu mashtaka ya ufisadi.
Facebook Forum